Anus - Mkundu
Arm(s) / Hand(s) - Mkono (Mikono)
Back - Mgongo
Body - Mwili
Bone(s) - Mfupa (Mifupa) / Mafupa
Brain - Ubongo / Akili
Breast(s) - Ziwa (Maziwa) / Titi (Matiti)
Buttock(s) - Tako (Matako)
Cheek(s) - Shavu(Mashavu) / Chavu (Machavu)
Chest - Kifua
Chin - Kidevu
Clitoris - Kilimi (cha kuma)
Ear(s) - Sikio (Masikio)
Elbow(s) - Kisugudi (Visugudi)
Eye brows - Nyusi
Eye lashes - Kope
Eye(s) - Jucho (Macho)
Hair - Nywele
Head - Kichwa
Heart - Moyo
Internal / Inside - Ndani
Iris - Kiini cha macho
Kidney(s) - Figo (Mafigo)
Knee(s) - Goti (Magoti)
Leg(s) / Foot (Feet) - Mguu (Miguu)
Lips - Midomo
Liver(s) - Ini (Maini)
Lung(s) - Pafu (Mapafu)
Mouth - Kinywa
Muscles - Misuli
Navel - Kitovu
Neck - Shingo
Nipple(s) - Chuchu (Machuchu)
Nose - Pua
Penis - Mboo / Mboro / Ume / Dhakara
Rib(s) - Ubavu (Mbavu)
Scrotum(s) / Balls - Koro (makoro) / Korodani (makorodani)
Shoulder(s) - Bega (Mabega)
Spinal Cord - Ute wa mgongo
Stomach / Belly - Tumbo
Thigh(s) - Paja (Mapaja)
Tongue - Ulimi
uke - feminity
Ume - masqulinity
Vagina - Kuma / Uke
Wrist(s) - Kiganja (Viganja)