DISEASES –MAGONJWA /MARATHI
TYPHOID
- HOMATUMBO /TAIFODI
ULCER
-BANGUZI
ALLERGY
-MZIO /MZIRO
ANTHRAX
-KIMETA
ASTHMA
-PUMU
CHICKEN POX
-TETEMAJI /TETEKUWANGA /TETEWANGA
DIARRHOEA
-KUENDESHA /KUHARA
DYSENTRY
-KUHARA DAMU
DYSPNEA
-UPUMUAJI WA SHIDA /KUPUMUA KWA SHIDA
ELEPHANTIASIS
-MGOTO /MATENDE
HEPATITIS
-UVIMBE WA INI /HEPATITISI
HYPERTENSION
-SHINIKIZO LA DAMU
KWASH IAKOR
-UNYAFUZI /CHIRWA /KWASHAKOO
MALARIA
-MALARIA /HOMA MBU
MENENGITIS
-UTANDOUBONGO /HOMA TIGONGO
STROKE -KIHASURI /UPOOZAJI
MUMP S
-MACHAPWI /MATUMBITUMBWI /PEREMA
NIGHT BLINDNESS
-UPOFU GIZA
NOSE -BLEEDING -MNOGA /MJUSI /MUHINA
PNEUMONIA
-NIUMONYA /KICHOMI
RHEUMATISM
-JONGOYABISI /BARIDIYABISI
SCABIES
-KIGAGA /KIBIRITI /MKUNGE /KIPWEPWE
SCURVY -HIJABU
/KISEYEYE
SYPHILIS
-TEGO /PANGUSA /KASWENDE /FARANGI SEKENEKO
TRAUMA
-KIWEWE
WHOOPING COUGH
-KIFADURU
TUPERCULOSIS
-KIFUA KIKUU
CANCER
-SARATANI /KENSA
BILHARZIA
-KOCHOCHO
LEPROSY -UKOMA
EPILEPSY
-KIFAFA
DIPHTHERIA -DONDAKOO
BERIRI
-BERIBERI
BUBONIC PLAGUE
-KIPUKUSA
STOMACH UPSET
-KINYESI
MESTITIS
-KINYINGI
INFLUENZA
-MAFUA
AMNESIA
-USAHAULIFU
GESTRITIS
- UVIMBE TUMBO
LEUKEMIA
-LUKEMIA
MALNUTRITION -UTAPIAMLO
MARASMAS
-YONGEO /UPOJAZO
RICKETS
-MATEGE
TYPHUS
-HOMA CHAWA
DEMENTIA
-UKICHAA /KICHAA
CHOLERA
-KIPINDUPINDU
DIABETES
-KISUKARI /BOLISUKARI
EUPHORBIA
-MINYAA /MINYARA
GONORRHEA
-KISALISALI /KISONONO
RING WORMS
-PUNYE /MBA /CHOA
ATHLETES FOOT
-MAMUNYUMUNGI