Greetings – Salamu
Good morning - Jambo?
-
Wambaje?
-
Habari za asubuhi?
Good morning (slang) – Vipi? Sasa?
Good afternoon
- Habari ya alasiri?
-
Jambo?
-
Wambaje?
Good evening - Habari ya jioni
Good night - Usiku mwema
How are you? (singular) -
Hujambo?
How are you? (plural) -
Hamjambo?
I am fine -
Sijambo
Thanks - Asante
And how are you? – Na wewe hujambo?
Hello? - Hujambo?
Hello (response) – Sijambo
You are welcome – Karibu
Goodbye –
Kwaheri
How is home - Hali
nyumbani ni ipi?
-
Walio nyumbani wambaje?
-
Nyumbani kwambaje?
It is fine – Ni njema
I have not seen you lately – Hatujaonana kwa muda
-
Sijakuona kwa muda
For custom translation: jumachris85@gmail.com
No comments:
Post a Comment